Ingine歌词

INGINE
Chorus
Ingine, ile ingine
Last sato , sio hii ile ingine
Niko kejani , sio East ile ingine
Nika Dunga Clark’s sio black zile zingine
Kalesa nipitie baro ile ingine
Uzuri nganya upita njia ile ingine
Kushuka Tunnel kwa stage ile ingine
Nikapata imeshona niende club ingine
Nduthi ikapita nikaitisha ile ingine
Pale Blend kwa entrance ile ingine
Kumeshona Waiter Akaitisha meza ingine
Kuna waiter akadai niiite ule Mwingine
Enyewe tray ilikuwa imeshona angeangusha ile ingine
Excuse , pombe bado mnauza bei ingine
Sahii kuna offer , hii sio bei Hii ndio ingine
Seti Remy kwa Rocks na unipe glassi ingine
Kurusha macho kwa meza ile ingine
Ingine, ile ingine x4
Nikaona bonge la nyama na sio hiyo ingine
Lakini alikuwa na jamaa mwingine
Nilishawai chapwa chupa sitaki Noma ingine
Nika watch Arsenal wakichapwa bao zingine
Nikisip tu masip zingine
But kuna Mresh kwa Kona ingine
Ananifinyia Jicho ingine
Namuuliza ni Mimi au ni mtu mwingine
Waiter ametumwa Ati ni Mimi sio mwingine
Nikamrushia beer mbili na nyama ingine
waiter anakam kunishow anadai ingine
Roho safi ka Jamal mi na rusha ingine
Na memo naonyeswa ingine
Nishatext roommate naleta dem mwingine
Atafute roommate mwingine au aende kwingine
Hajatoa rent ya last month na hiyo Mwezi ingine
Ingine, ile ingine x4
Anyways Hiyo ni story ingine
Dj anacheza ngoma ya ngoma zingine
Na Dancefloor itajaa wataitaji ingine
Ule Wangu bado anaonyesha dimple ingine
Then mabeste wake Wakajaa wengine
Fuliza yangu haitakubali nifulize ingine
Nikaona nilipe tujitoe kabla ingine
Makarao wako na njaa ingine!!
Sasa naita ule dem na kidole ingine
Akakam na ule Beste Mwingine
Nimshow seti number 0,7
2, 1 na akanipa kiss ingine
Nikasema weeeee Wacha na hiyo number ingine
Kukatokea bouncer mwingine
Ameunga macho moja inacheki kwingine
Kumbe Huyu dem ni dem wa Ringtone
Ehhh ule mmmoja sio mwingine!!!!
Ingine, ile ingine x4

IngineLRC歌词

Ingine歌词King KakaIngineLRC歌词添加中
  • 歌词名:Ingine
  • 歌手名:King Kaka
  • 更新时间:2023-12-25
  • 作词人:
  • 评分:0.0分

Ingine歌词,IngineLRC歌词

歌曲名:Ingine  歌手:King Kaka  所属专辑:《HAPPY HOUR》

作词:  作曲:  发行公司:未知  发行时间:2023-12-25

歌曲ID:3347650  分类:歌曲  语言:  大小:3.38 MB  时长:03:42秒  比特率:129K  评分:0.0分

介绍:《Ingine》 是 King Kaka 演唱的歌曲,时长03分42秒,由作词,作曲,该歌曲收录在King Kaka2023年的专辑《HAPPY HOUR》之中,如果您觉得好听的话,就把这首歌分享给您的朋友共同聆听,一起支持歌手King Kaka吧!

◆ 本页是歌曲Ingine歌曲LRC歌词下载页面,如果您想下载Inginemp3,那么就点击  IngineMp3免费下载

◆ 如果你想在线试听这首歌曲就点击  Ingine在线试听

◆ 如果你想了解更多歌手King Kaka的信息就点击  King Kaka的所有歌曲  King Kaka的专辑  King Kaka的详细资料  King Kaka的图片大全

◆ Ingine的永久试听地址是//www.9ku.com/play/3347650.htm,请将九酷音乐网(www.9ku.com)告诉您的3个朋友,感谢您对九酷音乐网支持!

Copyright @2023 - 2024 www.9ku.com.All Rights Reserved.九酷音乐网 版权所有  备案号:黑ICP备2023008593号-1